VUMBI LATIMKA POLISI KULITIA NGUVUNI JIBABA LENYE NGUVU ZA GOLIATI KWA KUMTESA MTOTO

Hekaheka! Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy, mkazi wa Tegeta-Msufini jijini Dar amepigwa pingu akituhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha wa kumsulubu mtoto wa kiume wa mdogo wake, mwenye umri wa miaka sita (jina linahifadhiwa). Baada ya kumwangushia kisago cha nguvu na majirani kushindwa kuvumilia hivyo kuitonya polisi ndipo hekaheka la kumtia pingu lilianza kwa kumfuata hukohuko bafuni hata hivyo iliwalazimu wanaume 5 kutumika kwani jibaba hilo lilikuwa kama Goliati...!!! GPL.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: