TFF YAENDELEA KULAMBA 'MATAPISHI' YA YANGA SC

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemteua Baraka Kizuguto kuwa Ofisa Habari kuanzia Februari 1 mwaka huu, nafasi ambayo imeachwa wazi na Boniface Wambura aliyehamia kwenye Ukurugenzi wa Mashindano. Kabla ya uteuzi huo, Kizuguto alikuwa Kaimu Ofisa Habari wa klabu ya Yanga SC, lakini hakuongezewa Mkataba kutokana na ufanisi mdogo. Kizuguto anafuata nyayo za aliyekuwa Katibu wa zamani wa Yanga SC, Selestine Mwesigwa aliyeingia TFF baada ya kuondolewa katika klabu hiyo
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: