Singano na Isihaka kufanyiwa majaribio Real Madrid

Baada ya Real Madrid kusaini mkataba na NSSF kuhusu kujenga kituo cha michezo nchini Tanzania huko Kigamboni, Afisa ya Real Madrid amekunwa na kiwango cha wachezaji wawili wa Simba Ramadhan Singano na Hassan Isihaka na kuwapa nafasi ya kwenda kufanya majaribio kwa matajiri hao wa Dunia Real Madrid mwezi june mwaka huu.Akihojiwa Afisa huyo wa Real Madrid Raul Garcia amesema wachezaji hao kama watafuzu majaribio wanaweza kuchukuliwa.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: