MA kweli pombe si chai na usiombe kunywa pombe hali uwezo wako kuwa mdogo yatakukuta ya aibu kama kijana huyo mkazi wa mjini Iringa ambae alifakamia pombe kupita kiasi mchana na kukushindwa kujitambua na kujikuta akuvua nguo mbele ya kadamnasi eneo la vibanda vya CCM mjini Iringa huku bila aibu akivua nguo huku akilazimisha vijana wenzake kumwingilia kimwili .
Tukio hili la aibu na aina yake lilitokea juzi majira ya saa 11 jioni katika eneo hilo la Kitimoto baada ya kijana huyo ghafla kuonekana kama kichaa na kuzunguka huku na kule huku kila anapowakuta vijana akivua nguo na kuomba kuchezewa mchezo mchafu.
Mbali ya vijana wenzake kuonekana kumshangaa bado kijana huyo jina tunalihifadhi alilazimika kuingia moja kati ya grosary ambayo dadake wa damu ndie muuzaji hapo na kufanya vituo hivyo kwa kuvua nguo na kuomba mchezo huo kabla ya dadamtu kuamua kutimua mbio kutoka nje .
Ili kuwa ni kama sinema kwa wateja wa eneo hilo ambalo waliona tukio hilo kama ni la mfano huku wenye familia na wapenzi wao wakilazimika kuhama eneo hilo kuepuka aibu zaidi .
Kutokana na tukio hilo la aibu baadhi ya vijana walilazimika kumkamata kwa nguvu chapombe huyo na kumfunga kamba baada ya kuona pombe zake zikiendelea kumzidi kutokana na kitendo cha kutaka kujisaidia hajakubwa juu ya mezi baada ya kila mmoja kumkimbia alipoomba kufanyiwa mchezo mchafu .
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment