Bweni jingine tena la wasichana Idodi Sekondari wilayani Iringa mkoani Iringa ambalo liliungua,yapata miaka mitano iliyopita na kuteketeza wasichana 13 linaungua moto hivi sasa
Kikosi cha jeshi la zimamoto na uokoaji Iringa kimeondoka mjini Iringa muda wa saa 5 asubuhi hii kuelekea Eneo la tukio umbali wa zaidi ya 40 kutoka mjini Iringa kwenda kusaidia kuzima moto huo
Habari kamili utaipata hapa
Home
Uncategories
Breaking news bweni lililoteketeza wanafunzi 13 kwa moto idodi sekondari linawaka moto muda huu tena
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment