Manchester United wamelazimishwa sare ya kufungana 1-1 na West Ham United baada ya Blind kuisawazishia timu yake dakika ya 90 ya mchezo na kufanya wagawane point mojamoja kila timu.
Awali Kouyate aliifungaia West Ha bao la kuongoza dakika ya 49 na kuinchanganya timu ya Manchester United waliosaka goli la kusawaisha kwa muda wote.
Manchester United wanafikisha pointi 43 na kukaa nafasi ya nne nyuma ya Southampton wenye point 45 huku nyuma yake wakikaa Tottenham wenye ponti 43 lakini Manchester wanabaki nafasi ya nne kwa tofauti ya magoli
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment