MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO WA SERIKALI YA MITAA SUMBAWANGA

Leo kumefanyika uchaguzi wa marudio wa serikali za mitaa katika manispaa ya Sumbawanga jimbo la sumbawanga kata tatu zimefanya uchaguzi kata za Msua, Chanji na Kizwite. Kata ya Msua ina mitaa 13chadema 13 CCM 0 na act 0kata ya Chanji ina mitaa14 CDM 11 CCM 0 act 0kata ya Kizwite mitaa 15 mpaka sasa imetangazwa mitaa 6CDM 5 na CCM 1 act 0mitaa mingine nitawajuza hongereni wana sumbawanga kuipenda chadema na kuithamini. UPDATE Uchaguzi wa serikali za mitaa Mitaa 44 ya Kata 3 za Sumbawanga Mjini leo tarehe 22/Feb/2015 Chadema wameshinda mitaa 39, CCM mitaa 4, Mtaa mmoja umewekewa pingamizi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: