Kocha wa QPR Harry Redknapp amejiuzulu rasmi nafasi yake ya kuifundisha timu hiyo,kutokana na matatizo ya mguu yanayomsumbua. Redknapp ameamua kuchukua uamuzi huo kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya mguu na anategemea kufanya upasuaji wiki za karibuni.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment