Baada ya Ivory Coast kufuzu fainali kwenye mchezo uliokuwa mkali wa fainali ya kwanza ya mataifa ya Afrika,Ghana nayo imefuata nyayo kwa kutinga fainali kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya mwenyeji Guinea ya Ikweta ila cha kustaajabisha zaidi ni kwa vurugu kubwa iliyosababisha mchezo kusimama kwa dakika 30 huku polisi wakitanda kila sehemu kuona jinsi ya kuzuia vurugu hizo za mashabiki.
Kwenye mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Malabo mabao ya Ghana yalifungwa na Jordan Ayew, Wakaso Mubarak na Andre Ayew
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment