Baraza la madiwani wilayani ludewa mkoa wa njombe wamemtaka mkurugenzi wa halmashauli hiyo kufanya kaz za wananchi na sio kukaa ofisini muda wote; hayo yamesemwa hii leo na madiwani hao katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauli kilichongozwa na Mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Ludewa Mh.Mathei Kongo ambae pia ni diwani wa kata ya lwilo ccm; kauli hiyo imefuata baada ya madiwani kuripoti vikundi vya wakulima havipatiwi mikopo itakayo wasaidia katika shughuli zao za kilimo; Mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Ludewa Mh.Mathei Kongo aliongeza ni vyema viongoz kufuatilia mambo kwa wakati na sio kukaa ofisini muda wote;
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: