AY: Tusiwe waoga, tuthubutu

Mwanamuziki Ambwene Yessaya “AY”, ametoboa siri ya wasanii wengi kushindwa kufanikiwa kwa wakati kutokana na woga na kutokuwa na uthubutu jambo ambao linarudisha nyuma maendeleo kimuziki. Akiongea na moja ya redio nchini rapa amesema kuwa, wasanii wapunguze kuongea sana na kupanga mipango mingi ambayo wanashindwa kuitekeleza kwa wakati. Amesema kuwa msanii anatakiwa kuwa na uthubutu na kujaribu kufanya kitu chochote ambacho kitakuwa na manufaa katika kazi na kuongeza kuwa sio lazima mtu kuiga kufanya kazi na Godfather na kuongezqa kuwa yeye hakuwa muoga kumfata Godfather na kufanya nae kazi kutokana na kuwa awali alikuwa ameshapita Kenya na Uganda kuitangaza Bongo Fleva. Aidha amewataka wasanii kuwa na uthubutu na kutokuwa waoga na kutoa mfano kwa wanamuziki wa Nigeria, ambao wanaonesha kutokuwa waoga ingawa hawana vipaji.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: