YANGA YASHINDWA KUTAMBA NYUMBAN

Yanga imepata sare ya pili mfululizo baada ya kumaliza dakika 90 dhidi ya Ruvu Shooting bila bao.
Sare hiyo inakuwa ni ya pili kwa Kocha Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi ambaye amerejea kuinoa Yanga.
Katika mechi hiyo ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, Yanga ilipoteza zaidi ya nafasi tatu za kufunga kupitia Simon Msuva, Amissi Tambwe na Andrey Couinho.
Kipindi cha pili kilionekana kuwa kigumu kwao na zaidi ubabe ulitawala zaidi katika mechi hiyo ya leo huku wachezaji wa Shooting wakimzonga mwamuzi kila mara.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: