Baada ya Waziri wa Nishati na Madini nchini Tanzania Prof. Sospeter Muhongo kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake hii leo kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow. Kwenye mitandao ya kijamii hali ilibadilika ghafla na‘Trend’kuwa ni Prof. Muhongo, Kuna baadhi ya tweets za watu maarufu zilizoshika mitandaoni leo;
Ushauri kwa Mhe bingwa wa uongo uliyeiba mali ya umma…huwezi kusafishika kwa kutunga na kusambaza uongo dhidi ya wanaosema ukweli juu yako
— Reginald Mengi (@regmengi) January 23, 2015
Mawaziri wa wili down ela za uma ama sio????
— Nick Mweusi (@nikkwapili) January 24, 2015
Sema lolote kuhusu maamuzi haya…. #ESCROW #KwaAjiliYako http://t.co/MqJS5hyrOx
— Joseph Haule (@ProfessorJayTz) January 24, 2015
Bye bye #muhongobye bye soon #maswi… and with uchaguzi around the corner … This ministry of Energy and minerals will be on likizo mode
— Mustafa Hassanali (@mustafahasanali) January 24, 2015
Now that Muhongo is gone, am waiting to see who will come next in Mengi’s sight. Another scandal in a waiting mode!
— Bernard Matungwa (@BMatungwa) January 24, 2015
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment