SARKODIE KUANGUSHA ALBAMU MPYA KARIBUNI

Mshindi wa tuzo za BET kutoka Afrika,Sarkodie yuko tayari kuangusha album yake mpya itakayojulikana kwa jina la “MARY” kwa mwaka huu mpya wa 2015, Album ya Sarkodie ambayo imeandaliwa kwa miaka 2 huku midundo yake yote ikitengenezwa “Live” kwenye studio yake ya SackCess Music. Rapa huyo ambaye ameweka picha ya Cover ya Album yake kwenye ukurasa wa Facebook. Jinsi Cover ya album ya Sarkodie itakavyokua
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: