SANDRA: SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA KAWAIDA

Msanii mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘‘Sandra’’ ameamua kumpa ushauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed maarufu kama ‘‘Shilole’’ kupigania kuolewa na mwandani wake ambaye ni msanii wa muziki “Nuhu Mziwanda” alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka. Sandra alisema “Anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada Wema Sepetu alivishwa pete ya uchumba na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ lakini mpaka sasa hawajafunga ndoa malengo yao yameishia njiani
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: