POLISI WAFUTWA KAZI KWA UBAKAJI INDIA

Waziri mkuu wa jimbo kubwa zaidi nchini India la Uttar Pradesh amewafuta kazi polisi wawili wanaoshtumiwa kwa kumteka nyara na kum’baka msichana wa umri wa miaka 14 siku ya Jumatano. Akhilesh Yadav aliamrisha hatua za kinidhamu kuchukuliwa dhidi ya polisi hao . Mahakama ilisema kuwa polisi walimlazimisha msichana huyo kuingia ndani ya gari lao alipotoka nyumbani kwenda msalani . Kisha walimpeleka kwenye kituo cha polisi ambapo walim’baka.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: