Mwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi- Juliana Kanyomozi

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Juliana Kanyomozi

Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefunguka kwa urefu kuhusiana na masuala mbalimbali kwenye mahojiano aliyofanyiwa na mtandao wa SatisfashionUG.


Miongoni mwa mambo aliyohojiwa ni pamoja na kuvuja kwa picha za utupu za muimbaji mwenzie wa Uganda, Desire Luzinda. “Kwanza kabisa katika kesi nyingi kamwe huwa sio kosa la mwanamke,” anasema Juliana.

“Kama wewe ni mtu mzima na umempenda mtu unajua kuwa hakuna kikomo cha kipi kitatokea kwenye chumba binafsi cha watu wazima wawili. Kama hautaenda mbali zaidi kumfurahisha mwanaume wako, atakuacha na kisha utahukumiwa kwa hilo,” aliongeza.

“Pindi mwanaume anapovunja uaminifu na kuamua kushare vitu hivyo siri kwa dunia nzima na kutumia vyote dhidi ya mwanamke – ndio maana bado tuna safari ndefu kama wanawake kukemea tabia hiyo.”

Juliana Kanyomozi Katika Pozi
“Nachukizwa na wanaume wa aina hii. Wanatia aibu. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa ni wanawake pekee ndio wanaokuwa wahanga kwenye visasi hivi vya mashambulizi ya purn. Unapofanya kitu kama hicho kwa mwanamke, hauwaumizi wanawake wote tu bali pia mama yako, mabinti zako na dada zako.”

Juliana alitolea pia mfano wa udukuzi uliofanyika nchini Marekani na kudai kuwa pamoja na picha za wasanii mbalimbali kuvuja hakuna chombo cha habari cha kuaminika kilichozianika.

“Inanisikitisha hapa nyumbani, kinyume chake ndio kinatokea
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: