Mwanamuziki Snura Ajifungua Mtoto wa Kiume Kwa Siri, Adaiwa Kumficha Watu Wasijue.

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..



MSANII nyota wa miondoko ya Mduara, Snura Mushi aliyekuwa kimya kwa muda mrefu kufuatia kuwa na ujauzito, amerejea jijini Dar akitokea Mbeya alikojifungua mtoto wa kiume, lakini kukiwa na madai kwamba anamficha mwanaye asionekane kwa watu.


“Namshangaa sana huyu mwenzetu sijui anachomfichia huyo mtoto ni kitu gani, angeficha ujauzito watu tungeelewa labda sababu za uswahili, lakini mtu umeshajifungua unaogopa nini?” kilihoji chanzo chetu kilichodai kuwa Snura amejifungua mtoto wa kiume.


Mkali huyo wa kibao cha Majanga alitafutwa kwa simu yake ya mkononi, alitoa ushirikiano vizuri lakini alipoulizwa kuhusiana na madai hayo, aliruka kimanga, akidai kuwa yeye siyo Snura na kukata simu.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: