Ajali Mbaya Ya Gari Iliyotokea Leo Maeneo Ya Tabata Jijini Dar Es Salaam!

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..


ajali(4)Mtu mmoja amekatika miguu na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya lori  moja kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya Coaster linalofanya safari kati ya Ubungo, Tegeta katika eneo la Tegeta Dar es Salaam.

Taarifa ya kituo cha ITV imesema mafundi gereji wa Tegeta walifanya jitihada kutumia vifaa vyao kukata mabati ya gari ili kuwatoa watu walionasa ndani ya gari iliyokuwa na abiria.
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamilius Wambura amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuahidi kutoa taarifa zaidi kuhusu baadaye baada ya uchunguzi kufanyika
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: