MBEYA DERBY YAISHA KWA SARE YA BAO 2-2

Mbeya City na Prisons zimemaliza mchezo wao wa upinzani mkubwa kwenye Ligi Kuu Bara kwa mabao 2-2. Sare hiyo imemaliza ubishi katika mchezo huo wa watani wa jiji la Mbeya. Prisons ilifanya kazi ya kusawazisha kila bao baada ya Paul Nonga kuanza kuifungia Mbeya City, wakasawazisha na Themi Felix akafunga la pili nao wakajibu. Mbeya City walionekana kung'ara zaidi katika kipindi cha pili lakini mambo hayakuweza kuwa mazuri zaidi ya sare
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: