Ikulu imefanya mkutano wa ghafla na waandishi wa habari kwenye uteuzi wa Baraza la Mawaziri.Baadhi ya Mawaziri waliochaguliwa na wengine kubadilishwa wizara ni;
George Simbachawene- Nishati na Madini
Mary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na Uratibu
Harrison Mwakyembe – Afrika Mashariki.
Wiliam Lukuvi – Ardhi Nyumba na Makazi
Steven Wassira – Kilimo Chakula na Ushirika
Samwel Sitta – Uchukuzi
Jenista Mhagama – Sera na Uratibu wa Bunge
Manaibu Waziri
Steven Masele -Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
Angellah Kairuki – Ardhi Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu- Katiba na Sheria
Anna Kilango- Elimu
Charles Mwijage – Nishati na Madini
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment