ETI KWELI WANAOPENDA UPIGAJI "SELFIE" WANATABIA HIZI? HEBU ZISOME KISHA NIAMBIE

Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Mji wa Ohio nchini Marekani unaohusiana na athari zinazosababishwa na kupiga picha Binafsi “Selfie” na kuweka kwenye mitandao tofauti umegundua tabia ya watu hao. Watu waliofanyiwa utafiti huu ni 800 na wenye umri kati ya miaka 18 na 40. Utafiti umeonyesha kuwa wanaopenda kujipiga Selfie wakiwa peke yao wanakuwa na tabia ya ubinafsi zaidi na hawapendi kujichanganya na watu wengine wala kwenda sehemu zenye watu wengi mara nyingi. Watu hao pia wana tabia ya kurekebisha “Edit” picha kabla hawajaiweka kwenye mtandao wanaotumia, pia watu hawa hutumia muda mwingi kuchunguza na kuchagua picha gan ni bora zaidi kuiweka. We unayepiga Selfie ni kweli unatabia hizi ?
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: