Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Wilaya ya Tarime mwanamke amwagiwa maji ya moto ya kusongea ugali na mumewe kisa kikilipotiwa kuwa alichuma mahindi mawili katika shamba lao bila ruhusa ya mumewe, hivi sasa mwanamke huyo amelazwa katika hospitari ya musoma kwa matibabu na mtuhumiwa ametoweka.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment