ELIA APIGA ZOTE MBILI SOUTHAMPTON IKIILAZA 2-1 NEWCASTLE
Eljero Elia amefunga mabao yote mawili Southampton ikishinda 2-1 ugenini dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi. Bao la Newcastle lilifungwa na Yoan Gouffran.
Habari mbali mbali za kitaifa;kimataifa;michezo na burudani; tunakuhabarisha kutoka ludewa mkoa wa Njombe na wilaya ya Ludewa
0 comments:
Post a Comment