CAMEROON, IVORY COAST ZABANWA NA SARE YA 1-1 AFCON

CAMEROON, MOJA YA TIMU INAYOPEWA NAFASI YA KUBEBA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA IMEBANWA NA KUAMBULIA SARE YA PILI MFULULIZO BAADA YA KUMALIZA DAKIKA 90 KWA BAO 1-1 DHIDI YA GUINEA KATIKA MECHI YA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA, LEO. IVORY COAST, TIMU YENYE NYOTA WENGI KWENYE MICHUANO YA AFCON, NAYO IMEBANWA NA SARE YA BAO 1-1 DHIDI YA MALI. HIVYO KUFANYA KUNDI LAO LENYE TIMU ZA CAMEROON, MALI, GUINEA KUWA LINAFANANA KWA POINTI KWA KUWA TIMU ZOTE ZINA POINTI 2 KILA MOJA BAADA YA SARE MBILI KWA KILA MOJA HIVYO MECHI YA MWISHO ITAAMUA TIMU IPI INASONGA MBELE.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: