BREAKING NEWZ: PANYA ROAD WAIFUNGA DAR NZIMA, TAARIFA NZIMA HII HAPA!!

Huenda umepokea simu, sms, au umesoma story zilizoenea kwenye mitandao kuhusu taarifa za kikundi cha wezi wanaojiita Panya Road kuvamia maeneo mbalimbali na kupora vitu, ikiwemo maeneo ya Sinza na Mwananyamala, pamoja na kujeruhi watu. millardayo.com inaendelea kufuatilia kuhusu tukio hilo, ikiwemo kumtafuta Kamanda wa Polisi Dar, nitakufahamisha kinachoendelea kuhusu tukio hilo.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: