Binti kufunga ndoa na baba mzazi

Katika hali ya kushangaaza msichana mmoja mwenye umri wa miaka 18 nchini Marekani, aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na baba yake mzazi kwa muda wa miaka 12 avunja ukimya na kutangaza kutaka kufunga ndoa na baba yake.
Mdada huyo anayeishi katika mji wa New Jersey, katika mahojiano na jarida la New York, ameeleza kuwa na uhusiano na baba yake tangu mama yake alipofariki dunia na wamefikia hatua ya kutaka kufunga ndoa.
Amesema kuwa familia ya upande wa mama yake walijua ukaribu wao ni kama baba na mtoto lakini ndugu wa baba yake walijua ni wapenzi kama walivyo wapenzi wengine.
Amesema baada ya kufunga ndoa wamepanga kuhama katika mji wa New Jersey, ambao watu wengi wamekuwa wakipinga uhusiano wao na wenda kuishi sehemu nyingine.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: