ASKARI ACHUKUA UAMUZI MGUMU HUKO MBEYA, AAMUA KUJIUA KWA KUJITANDIKA RISASI GHALANI

Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Mbozi, Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya ghala la kuhifadhia silaha katika kituo hicho. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo saa tisa usiku wa juzi kuamkia jana ambapo Askari huyo alikuwa lindo katika chumba hicho cha silaha. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini chanzo hasa cha tukio hilo. Chanzo cha Habari: Gazeti laNIPASHE, January 08, 2014.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: