YULE NABII ALIYETABIRI MWISHO WA DUNIA AFARIKI DUNIA

i wish you happy chrismass and happy new year


Kiongozi wa kanisa la house of Yahweh nchini kenya aliyetabiri mwisho wa dunia mwaka 2006 amefariki dunia.

Kiongozi mmoja wa dini ambaye alipata umaarufu nchini Kenya kwa kutabiri mwisho wa dunia mwaka 2006 amezikwa katika kijiji cha Bomet.

Kiongozi huyo wa madhehebu ya House of Yahweh Willy Kiplangat Sang alizikwa masaa machache baada ya kifo chake katika shamba la babaake kijijini Matarmat katika sherehe iliohudhuriwa na jamii yake ,majirani na wafuasi wa kanisa hilo.

Ndugu za nabii huyo aliyezingirwa na utata wanasema aliugua ugonjwa wa kifua kikuu nyumbani mwake huko Mauche kaunti ya Nakuru ambapo alikuwa mkulima na muhubiri.
via>>BBC
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: