WATU KADHAA WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA HAICE NA TREKTA, KIWALALA - LINDI
Watu kadhaa wamenusurika kifo baada ya Kupata ajali Mbaya iliyohusisha Gari aina ya Toyota Haice yenye namba za Usajili T 429 CGS iliyokuwa ikiendeshwa na Mohamed Mendrad Ngombo inayofanya Safari zake kati ya Nyangao - Lindi Mali ya ndugu Mwenda Abdalah Mwenda Kugonga Tela la Trekta lenye Namba za Usajili T 816 CJW Maeneo ya Kiwalala Lindi Vijijini.
Katika Ajali hiyo Hakuna Mtu aliyepoteza maisha, Majeruhi wamekimbizwa Katika Hospitali ya Nyangao iliyopo Lindi Vijijini.
Hizi ni Baadhi ya Picha za Ajali hiyo....
0 comments:
Post a Comment