Epuka makosa haya wakati wa mapenzi mapya...Ilikujilinda tabia yako isijulikane haraka
Epuka kumpigia pigia simu kila mara kwani baadae ukipunguza kumpiga hata kuelewa, mpigie simu tu mara chache na mwambie jambo muhim then katasimu.
Chukua muda kujua anapenda nini usikurupuke tu kumpeleka movies au club wakati hapendi, utamboa mara moja.
Usijisifie sana kuwa eti wewe unajua sana mapenzi kwani hata yeye atatarajia makubwa kwako kumbe wewe mwenyewe huna kitu, tulia tu aje kujionea mwenyewe, kwani huwa mwanamke anapenda sana surprise
Usionyeshe kukasirishwa na jambo kwa haraka, kwani utampa nafasi ya kukujua udhaifu wako mapema sana.
Asijue nafasi yako ya kazi mapema wala kipato chako mwache akupende kama ulivyo hayo mengine atajua baadae.
0 comments:
Post a Comment