UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAWANG’OA WAKURUGENZI 5

Kufuatia kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi serikali za mitaa suala lililopelekea uchaguzi huo kurudiwa Serikali imewatimua madarakani wakurugenzi 5 nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa(TAMISEMI) Hawa Ghasia amewataja waliofukuzwa kazi kuwa ni: 1-Bw.Felix T. Mabula kutoka Hanangi 2-Bw.Fortunatus Fwema- Mbulu 3-Bi.Isabellla D. Chilumba-Ulanga 4-Bi. Pendo Malabeja- Kwimba 5.Bw.Wiliam Z. Shimwela-Manispaa ya Sumbawanga
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: