SKRTEL SHUJAA, AIKOA LIVERPOOL KIZA KIMEINGIA, YAIKOMALIA ARSENAL 2-2

Jivunie kuwa mwana ludewa


 Beki Martin Skrtel amekuwa shujaa baada ya Arsenal kuongoza katika kipindi cha pili kwa bao la Olviere Giroud aluyefunga katika dakika ya 64.


Liverpool ilikuwa ya kwanza kupata bao katika dakika ya 45 kupitia Coutinho na Arsenal ikasawazisha katika dakika hiyo kupitia Debuchy.

Mechi hiyo ilikuwa ngumu na yenye mvuto kutokana na ushindani mkubwa.

Mshambuliaji Fabio Borini wa Liverpool alikuwa kivutio baada ya kuingizwa kipindi cha pili, lakini akalambwa kadi mbili za njano na kuzaa nyekundu.









Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: