Shilole Feki Aibuka na Kuchafua Hali ya Hewa Mtandaoni Kwa Kuandika Kingereza Kibovu.

Lile wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye mitandao ya kijamii likiwa bado linaendelea kwa kasi. Bongo movies imekutana huyu anejiita SHILOLE CLASIC. Akijifanya kuwa yeye ni Shilole, ambae mwigizaji na mwanamziki maarufu hapa Bongo. Hebu tusaidiane kusoma hii NGELI alioitoa hapa. Baada ya taarifa hizi kumfikia Shilole mwenye hiki ndicho alichokisema. “Nimetumiwa hii pic na kaka yangu dully sykes kuhusu hii account fake ya Facebook na najisikia vibaya coz si Mimi na kama unatumia jina langu kama shabiki yangu sawa ila usiandike habari za uongo na zisizoeleweka .ila Nina fanpage tu ya Facebook inayoitwa shilole kiuno na nna account twitter pia inaitwa shilolekiuno.so msidanganyike nje ya majina hayo.nawapenda Sana na tusaidiane kuwaambia na wengine.” Jamani tubadilike na tuitumie vizuri mitandao hii ya kijamii.Bongo movies.com inakemea tabia hii kwani ina athari kubwa kwa msanii na jamii kwa ujumla.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: