SABABU ILIYOMPELEKEA HUYU JAMAA AJIKATE SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA KUZITUPA KWENYE KAPU

Tumesikia visa vingi ikiwemo vile vya kujiua ama kujidhuru kwa namna yoyote ambavyo vinasababishwa na mikasa ya mapenzi, kila kukicha tunasikia kisa ama visa vipya ambavyo watu wanajikuta wakijitenda kutokana na masuala ya mapenzi. Oliver Ilic ambaye ana umri wa miaka 23, leo kaingia kwenye orodha ya watu ambao wamewahi kujidhuru kutokana na masuala ya kutendwa kwenye mapenzi huko Macedonia. Oliveralijikata sehemu zake za siri na kutupa katika kapu la kuwekea taka lililopo chumbani kwake, ambapo alifanyiwa operation ya kuzirudishia japo madaktari hawakuweza kutoa majibu kama jamaa huyo ataweza kurudi katika hali yake ya kawaida. Jamaa huyo amesema aliamua kujikata baada ya mpenzi wake kumwambia kuwa hana jipya kitandani. Chanzo:Gazeti laNipashe
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: