RAHEEM STERLING AING'ARISHA LIVERPOOL

RAHEEM STERLING AING'ARISHA LIVERPOOL BAO pekee la Raheem Sterling limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Burnley Uwanja wa Turf Moor katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo. Mshambuliaji hiyo kinda wa miaka 20 wa kimataifa wa England, alifunga bao zuri baada ya kumzunguka kipa Tom Heaton(pichani juu)kabla ya kuusukumia mpira nyavuni. Huo ni ushindi wa kwanza kwa Liverpool katika Ligi Kuu ya England msimu huu tangu walipoifunga 3-1 Leicester City Desemba 6, mwaka huu.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: