POLISI WANUSURIKA KUPIGWA BOMU MKESHA WA X-MASS, LAMLIPUKIA MRUSHAJI

Kutoka SONGEA tunaambiwa kuwa askari waliokuwa doria katika mkesha wa Krismasi wamenusurika kufa baada ya mtu mmoja kujaribu kulipua bomu maeneo ya MAJENGO na hatimaye kumlipukia na kufa papo hapo kabla ya kulirusha. Wenzake walijitahidi kuutorosha mwili wake lakini POLISI wamefanikiwa kuudhibiti....mlipuko huo. Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Like Page Yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: