MSUVA: TUKO SAWA, LAKINI HATUWEZI KUKWEPA SUALA LA KUJITUMA

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amesema pamoja na kwamba wana kikosi bora, lakini hawawezi kukwepa suala la kujituma. Msuva amesema Yanga ina kikosi bora kabisa, lakini wataendelea kujituma ili kupata ushindi katika mechi zao. "Kila timu inayocheza na Yanga, basi ujue si kazi lahisi. Tutaendelea kujituma, maana ndiyo dira. "Ukisema kikosi, tunacho bora. Lakini kujituma na kushirikiana kwa pamoja, ndiyo nguvu sahihi," alisema. Msuva alifunga bao la pili katika mechi dhidi ya Azam FC lakini iemchi hiyo ikaisha kwa sare baada ya John Bocco aliyeingia kipindi cha pili, kuisawazishia Azam.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: