MATUKIO YA KIMATAIFA 2013 YALIKUWA HAYA, JE 2014 NI YEPI?
1.Shambulizi la kigaidi kwenye jengo la
Westgate mjini Nairobi
2.
Kimbunga cha Haiyan nchini Philippines
kilichosababisha vifo vya watu zaidi ya elfu 6
3.
Umoja wa Afrika kujadili uwezekano wa
kujitoa ICC
4.
Kifo cha aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini
hayati Nelson Mandela
5.
Makubaliano kuhusu suala la nyuklia kati ya
Iran na nchi tano wajumbe wa kudumu wa
baraza la usalama
6.
Mgogoro wa Syria na tishio la Marekani
kushambulia nchi hiyo baada ya kudaiwa
kutumia silaha za kemikali
7.
Kuondolewa madarakani kwa Rais Mohamed
Morsi wa Misri na mgogoro uliofuata
8.
Sakata la Edward Snowden na mpango wa
upelelezi wa mawasiliano wa Idara ya Usalama
ya Marekani (NSA)
9.
Kufungwa kwa shughuli za serikali ya
Marekani baada ya bunge kukataa kupitisha
bajeti
10.
Kupinduliwa kwa Rais Francois Bozize wa
Jamhuri ya Afrika ya Kati na mgogoro uliofuata
11.
Kurushwa chombo cha anga ya juu cha
‘China Change 3’ na kutua kwenye mwezi
12.
Kufikiwa kwa makubaliano ya biashara ya
raundi ya Doha
13.
Kupungua kwa tatizo la uharamia katika
pwani ya Somalia na Ghuba ya Aden
14.
Tukio la ubakaji nchini India lilisababisha
kifo cha msichana mwanafunzi
15.
Kufichuka kwa siri ya kutumia dawa za
kuongeza nguvu kwa mwendesha baiskeli Lance
Armstrong.
0 comments:
Post a Comment