MATOKEO YA CHELSEA VS WEST HAM UNITED HAYA HAPA

Ratiba ngumu ya mechi za msimu wa sikukuu za Krismasi na mwaka mpya katika ligi kuu ya Uingereza imeanza rasmi leo. Chelsea ambao wanaongoza ligi ndio walifungua pazia za mechi za leo kwa kukipiga na West Ham United katika uwanja wa Stamford Bridge. Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa magoli mawili kwa bila kwa Chelsea. John Terry alianza kufungua akaunti ya magoli kwa Chelsea katika kipindi cha kwanza, kabla ya Diego Costa kuongeza goli la pili kipindi cha pili na kuhitimisha ushindi huo ambao wamewapa uongozi wa pointi 6 kileleni. Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Like Page Yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: