MASHABIKI KIBAO WAJITOKEZA KUMPOKEA TORRES AKIREJEA NYUMBANI

Mshambuliaji Fernando Torres rasmi amerejea nyumbani kwao Madrid na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid. Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kumpokea mshambuliaji huyo aliyesota Chelsea na baadaye AC Milan iliyokubalia kumuachia kwa mkopo. Mashabiki hao walikuwa wengi kwenye uwanja wa ndege wakati akiwasili. Kabla ya kuondoka Atletico na kujiunga na Liverpool, Torres alikuwa nahodha wa klabu hiyo akiwa kinda wa miaka 21 tu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: