MAREKANI:POLISI WAMKABA MMAREKANI MWEUSI MPAKA KIFO
Polisi kwenye mji wa New York hawatakabiliwa na mashitaka yoyote baada ya kuonekana kwenye kipande cha video kwenye mitandao ikiwaonyesha askari watano wakiamuru Bw.Eric Garner kumfunga pingu.Tukio hilo limetokea baada ya Bw. Eric Garner kupinga kufungwa pingu kwa madai ya polisi kuwa alikuwa akiuza sigara haramu ndipo walipomvamia na hatimaye kufariki Dunia.Kinachopingwa hapa ni njia walizotumia kumkamata Mmarekani mweusi huyu ndio mana tukio hili linaonekana kama la kibaguzi zaidi mpaka kupelekea waandamanaji kwenye miji tofauti kuamuru hati itendeki ili kumaliza jambo hili.
0 comments:
Post a Comment