KUTANA NA KIKOMBE CHA AJABU,KINAPIMA KIWANGO CHA KIU YAKO

Hivi ni moja ya vitu ambavyo ninapokutana navyo, moja kwa moja nafikiria kukufikishia na wewe pia, hivi unajua kikombe kinaweza kupima aina ya kinywaji unachokunywa? Haya ndiyo maendeleo ya kiteknolojia ambapo unaambiwa hiki kikombe kina uwezo wa kupima cafeine kutoka iliyopo kwenye kinywaji unachokunywa, pamoja na kitu kingine chochote ambacho kimo ndani ya kinywaji hicho hata kama ni kilevi, iwapo ukanywa halafu ukashusha kikombe chini na una kiu bado kinakupa ishara kwamba unatakiwa unywe tena kinywaji unachokunywa. Kikombe hicho kinatumia app maalum ambapo unaweza kukifanyia sync kupitia Bluetooth, iPhone Operating System na Android app, unaweza kukichaji kwa Wireless, kina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa siku tano mpaka siku saba na kinaweza kuingia chupa moja ya soda ya kawaida.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: