KOCHA HANS VAN DER PLUIJM ALIPATA BARAKA ZA SHABIKI MDOGO ZAIDI

Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm alipiga picha na shabiki mdogo zaidi wa Yanga katika mechi dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Pluijm alimshika mkono mtoto huyo anayekadiriwa kuwa na umri hadi wa miezi nane. Baada ya hapo kocha huyo alikwenda kuungana na wachezaji wake uwanjani kabla ya kuanza kwa mechi hiyo iliyopisha kwa sare ya mabao 2-2.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: