KAKAKUONA AONEKANA DAR, ATABIRI MEMA MWAKANI

Kakakuona ni mnyama wa familia Manidae ambao wamepambika na magamba na wana mkia mrefu. Siku la leo tarehe 29.12.2014 baada ya mvua kubwa kunyesha wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam wamemshuhudia Kakakuona baada kupewa baadhi ya vitu ili kuweza kujua mwaka ujao utakuaje. Aidha, Kakakuona huyo alikunywa maji mengi sana, akafuata unga na pesa, aliepuka panga na kisu.Watabiri wa mambo wanasema kuonekana kwa Kakakuona ni ishara ya kuwa na mema mwakani
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: