JOKATE ADAI ANAJISIKIA RAHA SANA KUKAA UTUPU.....!!!!

Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia. “Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: