HII NI KALI YA KUFUNGA MWAKA, VIJANA WAIBA SANAMU LA BIKIRA MARIA KANISANI?

Vijana watatu mkoani Songea wametakiwa kwenda na wazazi wao kutubu dhambi za kutaka kuiba sanamu la Bikira Maria katika Kanisa Katoliki la Kigango cha Samora. Katekista wa Kigango hichoKeneth Mhagamaalisema vijana hao walifanya jaribio hilo usiku wa manane baada ya ibada ya mkesha ambapo walinzi walifanikiwa kuwadhibiti kabla hawajafanikiwa na wakawekwa mbaroni. Vijana hao ni Ahmed, Mohammed naLeonardambapo Padri wa Kanisa hiloCristom Kapingaamesema vijana hao wanatakiwa kutubu la sivyo watawaacha kwenye mikono ya sheria washughulikiwe. Chanzo cha Habari:GazetiMtanzania,
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: