BATULI AMBWAGA MTUNIS KISA PENZI LA MZUNGU
Mwigizaji wa filamu za kibongo Batuli amefunguka kuhusu uhusiano aliokuwa nao na mwigizaji mwenzake maarufu kama Mtunis. Mwigizaji huyo amefunguka kuwa hivi sasa amedatishwa na penzi la Mzungu mwenye mtonyo wa kutosha kutoka pande za ng’ambo.
Aidha, mwigizaji huyo amemchana Mtunis na kumuita zilipendwa au daraja ambalo alitumia kuvuka kuelekea penzi la mzungu.
Kwa upande mwingine, Batuli amesisitiza kuwa watanzania wajiandae kwani mzungu aliye naye sasa ni mfanyabiashara mkubwa kutoka ‘mamtoni’ na kusisitiza kuwa sio mtu wa maisha duni
0 comments:
Post a Comment