BASI LAGONGANA NA COASTER HUKO TUNDUMA

Jivunie kuwa mwana ludewa







Wananchi wakiwa eneo la Sogea, Tunduma ilipotokea ajali ya basi na Coaster.


WATU kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyolihusisha Basi la Shalom Express lililokuwa likitokea Sumbawanga - Mbeya lililogonga Coaster iliyokuwa inatokea Mbeya- Tunduma eneo la Sogea, Tunduma jioni ya leo. Coster lilikuwa likijaribu ku-overtake lori ndipo lilipogongwa na basi hilo.

Idadi kamili ya majeruhi wa ajali hiyo bado haijafahamika.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: