ANDREW CHENGE AANZA KUGAWA PESA ZA ESCROW,AFANYA KUFURU HUKO BARIADI
Ni kama ameanza kurudisha Shilingi Bilioni 1.6 fedha alizopewa kama mgao zilizochotwa katika kaunti ya Tegeta Esrow Mbunge wa Bariadi Magharibi Endrew Chenge ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa maabara katika halmashauri ya Mji wa Bariadi,mkoani Simiyu ambapo alichangia kiasi cha shilingi Milioni 116 kati ya shilingi Milioni 174.06 zilizopatikana katika harambee hiyo.
Mbunge huyo ambaye alitajwa kupewa fedha kiasi cha shilingi Bilioni 1.6 katika kashfa ya uchotwaji wa fedha akaunti ya Tegeta Esrow, alichangia kiasi hicho huku akikwepa kuongelea kashfa hiyo inayomkabili.
0 comments:
Post a Comment